Kenyans Live

Mwanamume azuiliwa baada ya kumuua mke na mwanawe

Description (show more)

Mwanamume mmoja anazuiliwa na polisi huko Nyali kaunti ya Mombasa baada ya kumuua mkewe na mwanawe wa miaka sita.

Share: