Kenyans Live

Natembeya akanusha madai kuwa upinzani unanyima Trans Nzoia maendeleo

Description (show more)

Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya amekanusha madai kuwa kuwa katika upinzani kunawanyima wakazi wa eneo hilo maendeleo. Natembeya amesema mfumo wa ugavi wa rasilimali unawapa viongozi fursa ya kuikosoa serikali bila serikali kuhujumu miradi ya maendeleo katika maeneo wanayotoka.

Share: