Habari za Biashara | Adhabu kali yapendekezwa kwa wauzaji mbegu ghushi
Description (show more)
Shirika la ukaguzi wa afya ya mimealinapendekeza adhabu kali zaidi kwa wauzaji wa mbegu ghushi ili kuwakinga wakulima na kuongeza uzalishaji chakula. Mkurugenzi mkuu wa shirika hilo Theophilus Muthui amesema adhabu kali zinahitajika ili kuzuia usambazaji wa mbegu ghushi ambazo zinahujumu mavuno, kipato cha wakulima na uzalishaji chakula. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:35Sifuna azuiwa na uongozi wa chuo cha JKUAT Karen kuhudhuria mkutano katika chuo hicho
· 1 views
1:55Rais Ruto aendeleza mashambulizi yake dhidi ya Uhuru Kenyatta
· 2 views
3:15Rais William Ruto ataja upinzani kama kundi la watu wasio na mwelekeo, dira wala ajenda
· 10 views
2:56Watu 9 Wafariki Katika Ajali Mbili za Barabarani Machakos na Kisii
· 18 views
3:26Familia 300 Zarudi Mau Baada ya Kukosa Fidia ya Sh2.6B
· 12 views
2:20
2:23Watu watano waliuwawa Gotu , kaunti ya Isiolo jana Jumatano.
· 5 views
1:26Sifuna speaks after initially being denied access to a meeting at JKUAT’s Karen Campus
· 25 views
