Kenyans Live

Wakazi wa Lolkuta kaunti ya Wajir waunga mkono hatua za serikali kuhusu makazi mapya

Description (show more)

Wakazi wa kijiji cha Lolkuta kusini Eneo bunge la Wajir Magharibi Kaunti ya Wajir, wameeleza kuunga mkono hatua zinazochukuliwa na Serikali ya Kitaifa na Serikali ya Kaunti ya Wajir kuhusu makazi mapya yaliyoanzishwa katika maeneo yenye mgogoro na yanayozua wasiwasi wa kiusalama.

Share: