Kenyans Live

Maslahi ya ardhi ya Ogiek na Talai

Description (show more)

Kamati ya Bunge la taifa kuhusu Ardhi imekutana na wanachama wa jamii za Ogiek na Talai kujadili ombi lao la muda mrefu la kupatiwa ardhi ya makazi katika eneo la Sambret, Kaunti Ndogo ya Kipkelion Mashariki, Kaunti ya Kericho.

Share: