Kenyans Live

Dangote awaahidi wakazi wa Lamu kuwa kiwanda cha kusafisha mafuta kitawapa nafasi za ajira

Description (show more)

Mwekezaji wa kiwanda cha kusafisha mafuta kutoka Nigeria, Aliko Dangote, amewahakikishia wakazi wa Lamu na Wakenya kuwa kiwanda cha kusafisha mafuta kinachojengwa katika kaunti hiyo kitawapa nafasi za ajira, mafunzo na biashara. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya