Kenyans Live

Naibu gavana Mombasa Francis Thoya ataka upanuzi wa barabara ya Mombasa-Nairobi kupunguza ajali

Description (show more)

Naibu Gavana wa Mombasa Francis Thoya ameitaka serikali ya kitaifa kupanua barabara kuu ya Mombasa kuelekea Nairobi ili kupunguza ajali. Akizunguma huko Changamwe , Thoya ametaka pia taasisi za serikali kukoma kulaumiana na badakla yake kutafuta suluhu ya kudhibiti ajali katika barabara hiyo.

Share: