Dawa za kulevya za shilingi bilioni 8.2 zaharibiwa Mombasa
Description (show more)
Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen ameshuhudia kuharibiwa kwa dawa za kulevya zinazokadiriwa kuwa za thamani ya shilingi bilioni-8.2 katika kiwanda cha saruji cha Bamburi jijini Mombasa. Dawa hizo zilinaswa katika Bahari Hindi mwezi Oktoba mwaka jana huku washukiwa sita ambao ni raia wa Iran wakiwa bado wanazuiliwa. Mwanahabari wetu Ann Mburu alishuhudia shughuli ya kuharibiwa kwa dawa hizo ambapo waziri alikariri kujitolea kwa serikali kushirikiana na makundi na mashirika mbalimbali kukabiliana na dawa za kulevya na pombe haramu humu nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:02:27
1:43
3:40Lawyer Nyamori: “There is no risk” - Ruto comfortable with ODM-UDA competition
47:21The gambler: Why Sakaja's battles go beyond ODM rescue
2:27Lawyer Nyamori: “Current political deals are useless” – Ruto's post-2027 alliance plans questioned
1:18Omamo: “No permanent friends in politics”: Ruto's loss could trigger UDA defections
2:28Ruto loses in 2027? Gakuya hints at possible ODM-DCP alliance
3:37