Maafisa wajizatiti kufikia sehemu ya chini ya jengo lililoporomoka Eastleigh
Description (show more)
Juhudi za uokoaji zinazoendelea katika jengo lililoporomoka mtaani Eastleigh, jijini Nairobi, ziliingia siku ya saba huku kundi la maafisa kutoka idara mbali mbali likiimarisha juhudi za kufikia sehemu ya chini ya jumba hilo, ambako yaaminika kwamba huenda kuna watu wamekwama ndani. Huku shughuli hiyo ikiingia awamu yake ya mwisho, waokoaji wanaangazia habari kuhusu uwezekano wa watu kuwa hai, huku vifaa zaidi vikipelekwa kuharakisha utoaji wa vifusi. Michael Mwandigha anaarifu kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News
Related Videos
More from KBC Channel 1
3:03Broad-based leaders defend “Usawa ni Sawa” message
4:53Jakom ODM Gladys Wanga osiro ajenda mar 'Usawa ni Sawa' | #RamogiTV
4:40KTN EXCLUSIVE: Inside the 390-Page Bomas Contract as Project Cost Hits KSh41.9 Billion
· 34 views
4:19Kalonzo rejects joining the Kenya Kwanza administration
· 4 views
4:11Rescue operation at collapsed Eastleigh building enters its tenth day
· 16 views

LIVE: Sunday Express with Regina Manyara II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 313 views

🔴LIVE || TV47 Prime with Wakio Mzenge
· 448 views
24:52Earthwise | Exploring Kenya's new livestock microchip tag and real-time national database
· 104 views
