Kenyans Live

Familia ya Mumias yaomba msaada wa kumpata mtoto wa miaka miwili anayedaiwa kutekwa na mwanamke

Description (show more)

Familia moja mtaani Bomani mjini Mumias kaunti ya Kakamega inaitaka idara ya usalama kumsaka mama aliyemuiba mtoto wao, Abigael Amani mwenye umri wa miaka miwili .

Share: