Kenyans Live

Tusker FC yalenga historia kwa kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la CAF

Description (show more)

Tusker FC imebakisha dakika 180 kuweka historia ya klabu kwa kufuzu kwa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la CAF. Tusker FC inakaribisha Singida Black Stars ya Tanzania Jumapili katika mkondo wa kwanza wa hatua ya awali ya raundi ya pili.

Share: