Maafisa wa mawasiliano ya umma waagizwa kukabiliana na taarifa potovu
Description (show more)
Serikali imeagiza maafisa wa mawasiliano ya umma kukabiliana na habari zisizo za ukweli, taarifa potovu pamoja na zile za uwongo kupitia uboreshaji wa jinsi idara mbalimbali na mashirika huwasilisha mipango pamoja na sera za serikali. Akihutubia kikao cha uhamasishaji cha mwasilianaji wa serikali jijini Nairobi hii leo, katibu wa utangazaji na mawasiliano Stephen Isaboke alitaka wawasilishaji wa mawasiliano ya umma kuelewa mabadiliko ya taarifa, kuthibitisha ukweli pamoja na kurahisisha habari za serikali kwa umma. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:35Sifuna azuiwa na uongozi wa chuo cha JKUAT Karen kuhudhuria mkutano katika chuo hicho
1:55Rais Ruto aendeleza mashambulizi yake dhidi ya Uhuru Kenyatta
3:15Rais William Ruto ataja upinzani kama kundi la watu wasio na mwelekeo, dira wala ajenda
2:56Watu 9 Wafariki Katika Ajali Mbili za Barabarani Machakos na Kisii
3:26Familia 300 Zarudi Mau Baada ya Kukosa Fidia ya Sh2.6B
2:20
2:23Watu watano waliuwawa Gotu , kaunti ya Isiolo jana Jumatano.
1:26