Kenyans Live

Mwanamume amuua shemejiye kufuatia mzozo wa kifamilia Kakamega

Description (show more)

Polisi huko Shinyalu, kaunti ya Kakamega, wanamzuilia mwanaume mwenye umri wa miaka 29 anayedaiwa kumuua shemeji yake na kumchoma kisu mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka minne. Mwanamke huyo aliripotiwa kushambuliwa na kuuawa alipokuwa akimpeleka mwanawe shuleni mapema leo asubuhi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News

Share: