Kenyans Live

Mamake Paul Mackenzie akamatwa Malindi kwa madai ya kuwanyima wajukuu chakula na kutowapeleka shule

NTV Kenya7 Oct 2026
1.4K views 13YouTube
Description (show more)

Mamake mhubiri tata Paul Mackenzie, Anastasia Mwele, amekamatwa na maafisa wa DCI katika eneo la Furunzi, Malindi, pamoja na wajukuu wake. Mwele anahojiwa kuhusu madai ya kuwanyima watoto hao chakula na kutowapeleka shule, huku familia hiyo ikidaiwa kuendelea kufuata itikadi ya kufunga kula. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya