Kenyans Live

UASU chaitaka bunge kurekebisha mswada wa ufadhili wa elimu ya juu

Description (show more)

Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu nchini UASU kinalitaka bunge la kitaifa kuufanyia marekebisho mswada unaopendekezwa kuhusu ufadhili wa elimu ya juu. Wahadhiri hawa wakisema kuwa kuna mianya kwenye mswada huu wanaosema hauna uhakika kamiliki kuhusu ufadhili kwa wanafunzi.

Share: