Kenyans Live

Gavana wa Kwale Fatuma Achani aongoza mchango kwa wafanyabiashara walioathirika na moto Ukunda

Description (show more)

Gavana wa Kaunti ya Kwale Fatuma Achani ameongoza mchango kwa wafanyabiashara walioathirika na kupoteza mali yao kwenye mkasa wa moto juma lililopita katika eneo la Ibiza huko Ukunda.

Share: