Kenyans Live

Ufinyu kwenye uwasilishaji makato watishia vyama vya ushirika

Description (show more)

Uthabiti wa vyama vya akiba na mikopo unatishiwa na ufinyu kwenye uwasilishaji wa makato ya wanachama na waajiri na ulipaji mikopo hususan miongoni mwa taasisi za serikali. Waziri wa ushirika Wycliffe Oparanya anasema mipango inapangwa ya kuwianisha mifumo ya makato ya wafanyakazi wa taasisi za serikali ili kuhakikisha pesa zinazodaiwa vyama vya ushirika zinawasilishwa moja kwa moja kwa vyama husika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: