Kenyans Live

Shirika la msalaba mwekundu limeanzisha uhamisisho bonde la ufa

Description (show more)

Shirika la msalaba mwekundu katika kaunti ya Uasin Gishu, kwa ushirikiano wa wadau wengine ikiwemo serikali ya kaunti na idara ya utabiri wa hali ya hewa kaunti hiyo wameanzisha uhamisisho wa umma ya kuchukua tahadhari mapema kuhusiana na mvua ya Elnino inayotarajiwa kuanza mwezi ujao.

Share: