Kenyans Live

Winnie na Raila Junior watangaza azma ya kuwania viti vya kisiasa

Description (show more)

Wanawe wa hayati Raila Odinga wameweka wazi azimio la kurithi nafasi ya baba yao katika siasa za nchi. Mbunge wa EALA Winnie Odinga leo akitangaza azma yake ya kuwania kiti cha useneta wa Nairobi, huku naye Raila Odinga Junior akitangaza azma yake ya kuwania ubunge wa Kibra. Dada yake Odinga, Ruth Odinga, naye akitoa ahadi kuwa familia ya Odinga itaendelea kutambulika katika ulingo wa siasa.

Share: