Kenyans Live

Watengenezaji wa pombe wenye leseni waonya kuhusu pombe bandia sokoni

Description (show more)

watengenezaji wa pombe wenye leseni wameonya kuhusu kuongezeka kwa pombe bandia sokoni. wanasema baadhi ya wafanyabiashara wanakusanya chupa za pombe zinazojulikana, na kuzitumia kuweka pombe haramu kisha kuziuza kama bidhaa halali.

Share: