Kenyans Live

Wakazi zaidi ya 4,000 wa Ndovuni Taita Taveta wataka serikali iwape ardhi

Description (show more)

Wakazi zaidi ya elfu nne waliobomolewa nyumba zao katika kijiji cha Ndovuni huko Maungu kaunti ya Taita Taveta mwaka wa 2021 sasa wanaitaka serikali kuwapatia ardhi kwani wengi wao wamebaki kuwa maskwota.

Share: