Kenyans Live

Kuchelewa kuunganishwa kwa umeme kwakwamisha miradi ya MSMEs

Description (show more)

Kuchelewa kwa kuunganishwa kwa umeme kunakwamisha miradi ya biashara ndogo na za wastani zinazofadhiliwa na serikali. akizungumza mbele ya kamati ya bunge kuhusu biashara, Katibu katika idara hiyo Susan Mang'eni aliibua wasiwasi kuhusu kuchelewa kuunganishwa kwa umeme katika miradi ya serikali inayolenga kusaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati (MSMEs), akisema hali hiyo inakwamisha utekelezaji wa miradi hiyo.

Share: