Kenyans Live

Salim Mvurya aishutumu upinzani kwa kukosa sera na ajenda za uchaguzi wa 2027

Description (show more)

Waziri wa vijana na michezo salim mvurya ameendelea kuukosoa upinzani akisema viongozi wa upinzani hawajabainisha sera na ajenda walizo nazo za kupinga uongozi wa rais william ruto katika uchaguzi mkuu ujao

Share: