Kenyans Live

Watahiniwa 2,500 kaunti ya Kakamega wanufaika na vifaa vya mitihani ya kitaifa

Description (show more)

Watahiniwa zaidi ya elfu mbili mia tano kutoka kaunti ya kakamega wamenufaika na vifaa vya kufanyia mitihani ya kitaifa, ikiwemo wa gredi ya sita, nane na kidato cha nne, kutoka kwa mfanyabiashara katika kaunti hiyo bonface ngashira.

Share: