3K FC yaandikisha ushindi wa kwanza ligi kuu kwa kuilaza Murang’a Seal
Description (show more)
Kikosi cha 3K FC kimepata ushindi wake wa kwanza katika ligi kuu nchini baada ya kuilaza Murang’a Seal mabao 2-1 kwenye Mlima Derby. 3K FC ilitangulia kupata bao kupitia kwa Glen Githinji dakika ya 24, kabla ya kuongeza bao la pili dakika kumi baadaye kupitia kwa Onesmus Juma. Murang’a Seal ilifuta machozi kwa kupata bao la kufutia machozi kupitia kwa Michael Owen mwishoni mwa kipindi cha kwanza. 3K FC sasa ina alama tano baada ya kucheza mechi tatu za kwanza za ligi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:56
2:21Catherine Omanyo Amtaka Kalonzo Kuondoka Upinzani na Kujiunga na Serikali
· 11 views
2:11Seneta Miraj Abdillahi Apinga Pendekezo la UDA na ODM Kugawana Madaraka 50:50
· 16 views
2:35Sakaja ditches UDA, joins ODM in a bid to retain his seat
· 169 views
2:20KCSE 2026: Usalama Waongezwa Turkana na Pokot Magharibi, Watahiniwa 7,000 Washiriki
· 4 views
1:55KCSE 2026: Watahiniwa 14,394 Waanza Mitihani Katika Kaunti ya Kajiado
· 9 views
20:03| UKUMBI | Siasa za kiti cha urais [Part 3]
· 26 views
2:16KCSE 2026: Watahiniwa 29,139 Waanza Mitihani Migori, Wafungwa Watatu Wajumuishwa
· 8 views
