Ujenzi wa barabara Maralal wazua hisia mseto huku wafanyabiashara wakilalamikia hasara
Description (show more)
Ujenzi wa barabara unaoendelea katika mji wa Maralal, Kaunti ya Samburu, umeibua hisia mseto. Wafanyabiashara wanalalamikia hasara kutokana na kufungwa kwa njia za kuingia kwenye maduka yao na mchanga kumwagwa nje ya biashara zao. Hata hivyo, vijana walioajiriwa katika miradi hiyo wanaipongeza serikali kwa kuwapa ajira, huku wakazi wakitaka kazi hizo kuharakishwa ili kupunguza usumbufu.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
23:56🔴LIVE || TV47 News @ 1 P.M With Martin Githinji
· 793 views
34:38LIVE:Lunchtime News with Giverson Maina II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 931 views
1:24:28LIVE: Sunday Service from All Saints Cathedral II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
· 2.3K views
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
· 7.6K views
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 199 views
4:44Rivers in Athi basin bear brunt of pollution asindustrial waste is discharged into rivers
· 668 views
2:17Kenyan truck drivers decry harassment at border points over Ebola concerns
· 957 views
