Kenyans Live

Teknolojia yalinda punda dhidi ya wizi na kuimarisha matibabu Kisumu na Siaya

Description (show more)

Ni wasafirishaji wa mizigo mizito na wenye injini thabiti vijijini, ila wanyama hawa wametelekezwa na kudhulumiwa kwa miaka mingi. Katika kaunti za Kisumu na Siaya, teknolojia inabadilisha hadhi ya punda kwa kuzuia visa vya wizi na kuimarisha matibabu ya wanyama hao. Utumizi wa kifaa maalum cha kitambulisho pia umelinda riziki za familia nyingi katika ka

Share: