Biashara | Uhaba wa chakula wazonga Upembe wa Afrika
Description (show more)
Watu zaidi ya milioni 40 kwenye mataifa saba ya Upembe wa Afrika wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula huku mabadiliko ya tabianchi na shinikizo za kiuchumi zikizidisha tisho hilo la kibinadamu. Taarifa ya shirika la IGAD inahimiza mikakati madhubuti ya utoaji tahadhari za mapema, kustahimilishwa kwa biashara na ushirikiano wa karibu ili kuzisaidia nchi hizo kukabiliana na hali hiyo inayozidi kudorora. Taarifa hii na nyingine ni kwenye makala ya Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:02:27
1:43
3:40Lawyer Nyamori: “There is no risk” - Ruto comfortable with ODM-UDA competition
· 12 views
47:21The gambler: Why Sakaja's battles go beyond ODM rescue
· 44 views
2:27Lawyer Nyamori: “Current political deals are useless” – Ruto's post-2027 alliance plans questioned
· 10 views
1:18Omamo: “No permanent friends in politics”: Ruto's loss could trigger UDA defections
· 20 views
2:28Ruto loses in 2027? Gakuya hints at possible ODM-DCP alliance
· 60 views
3:37Omamo: Judge candidates by what they offer, not party; six-piece voting is a heavy suit
· 16 views
