Uwanja wa Kipchoge Keino wafurika wananchi kwa sikukuu ya Mashujaa
124 viewsYouTube
Description (show more)
Wakenya kutoka tabaka mbalimbali walijitokeza kwa wingi katika uwanja wa Kipchoge Keino mjini Eldoret, kaunti ya Uasin Gishu kwa ajili ya maadhimisho ya 63 ya sikukuu ya Mashujaa, baadhi yao wakisema walikesha uwanjani humo ili kujipatia nafasi. Wale waliokosa kuingia uwanjani walifuatilia sherehe hizo kupitia rununu zilizowekwa nje ya uwanja na mjini Eldoret, huku wengine wakiruhusiwa kuingia baada ya kipindi cha burudani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
LIVE: Good Morning Kenya II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
23:56🔴LIVE || TV47 News @ 1 P.M With Martin Githinji
· 795 views
34:38LIVE:Lunchtime News with Giverson Maina II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 943 views
1:24:28LIVE: Sunday Service from All Saints Cathedral II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
· 7.1K views
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
· 16K views
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 222 views
4:44Rivers in Athi basin bear brunt of pollution asindustrial waste is discharged into rivers
· 996 views
