Kenyans Live

Kinara wa DCP Rigathi Gachagua asema yeye ndiye bora zaidi kupeperusha bendera ya upinzani 2027

Description (show more)

Kinara wa DCP Rigathi Gachagua ameendelea kusisitiza kuwa yeye ndiye bora zaidi kuipeperusha bendera ya upinzani dhidi ya Rais William Ruto Kwenye kipute Cha mwaka 2027.

Share: