Kenyans Live

Wakenya wakumbuka Raila Odinga mwaka mmoja baada ya kifo chake

Description (show more)

Hafla ya mwaka mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga ilisheheni hisia mseto huku maelfu ya Wakenya wakijitokeza kumkumbuka. Familia na marafiki walieleza pengo la kuondokewa na mtu aliyekuwa na ushawishi mkubwa maishani mwao na juhudi zao kuhakikisha wasifu wake hausahauliki.

Share: