Viongozi wa Kiislamu wataka uteuzi wa haraka wa makamishna wa tume ya wakfu
83 viewsYouTube
Description (show more)
Viongozi wa Dini ya Kiislamu Kaskazini mwa Bonde la Ufa wamemrai mwanasheria mkuu wa Serikali Dorcas Oduor, kuharakisha mchakato wa uteuzi rasmi wa makamishna wa tume ya Wakfu pamoja na kuchapisha majina yao katika gazeti Rrsmi la Serikali. Wakizungumza na wanahabari jijini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu viongozi hao wamesema jopo lililoteuliwa kusimamia mchakato wa uchaguzi wa makamishna tayari limewasilisha majina ya waliopendekezwa kwa uteuzi. Kulingana nao kucheleweshwa kwa uteuzi wa makamishna hao kunatatiza kuanza kwa shughuli za tume hiyo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
23:56🔴LIVE || TV47 News @ 1 P.M With Martin Githinji
· 795 views
34:38LIVE:Lunchtime News with Giverson Maina II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 943 views
1:24:28LIVE: Sunday Service from All Saints Cathedral II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
· 4.1K views
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
· 11.1K views
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 199 views
4:44Rivers in Athi basin bear brunt of pollution asindustrial waste is discharged into rivers
· 812 views
2:17Kenyan truck drivers decry harassment at border points over Ebola concerns
· 1.1K views
