Kenyans Live

Ruto azidi kumshawishi Kalonzo kuungana naye kuelekea uchaguzi wa 2027

Description (show more)

Wakati kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka akiwa Wamunyoro, Rais William Ruto alikuwa Tseikuru, kaunti ya Kitui, akiendelea kumtaka kiongozi huyo kujiepusha na siasa za kudaiwa. Ruto, ambaye amekuwa katika ziara ya kikazi kwa siku ya nne, amezindua miradi ya barabara na maendeleo huku akionekana kumshawishi Kalonzo kuungana naye kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Chrispine Otieno ana mengi zaidi.

Share: