Kenyans Live

Askofu wa Kanisa la Good News of Africa Raphael Kituva awataka wapinzani kutaja mgombea wao wa urais

Description (show more)

Askofu Mkuu wa Kanisa la Good News of Africa (GNCA) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Muungano wa Makasisi wa Kenya, Raphael Nzuki Kituva, amevitaka vyama vya upinzani kumtaja mgombea wao wa urais .

Share: