Kenyans Live

Wakili Langat aiomba mahakama kuzuia maandalizi ya uchaguzi hadi IEBC ikague mipaka

Description (show more)

Wakili Phillip Kipkemoi Langat amewasilisha kesi mahakamani kuitaka Tume ya Uchaguzi na Mipaka nchini IEBC kuzuiwa kuandaa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao hadi pale Tume hiyo itafanya ukaguzi wa mipaka kama inavyotakiwa kikatiba. Langat anasema IEBC imekiuka Katiba kwa kupitwa na wakati kuendesha taratibu hiyo mwaka wa 2024, kwani ukaguzi wa mwisho wa mipaka ulifanyika mwaka wa 2012. Melita Oletenges anaarifu.

Share: