Kenyans Live

Bunge yakusanya maoni kuhusu miswada sita ya elimu

Description (show more)

Kamati ya Bunge ya Elimu imekusanya maoni ya wananchi katika Kilifi na Tana River kuhusu miswada sita ya elimu iliyo mbele ya Bunge, ukiwemo mswada wa ufadhili wa elimu ya juu.

Share: