Kenyans Live

Wakazi wa Lavington walalamikia kelele za baa

Description (show more)

Baadhi ya wakazi wa Lavington wamelalamikia kelele kutoka baa na maeneo ya burudani, wakisema hali hiyo inawakosesha amani na kuwazuia kupata usingizi.

Share: