Kenyans Live

Duale atetea hatua ya Ruto kuhusu wakazi wa mipaka

Description (show more)

Waziri wa Afya Aden Duale ametetea hatua ya Rais William Ruto kuondoa ukaguzi wa vitambulisho kwa wakazi wa maeneo ya mipaka akisema watu wa jamii hiyo watampigia kura kwa wingi. Duale aidha akiendeleza mashambulizi ya viongozi wanaounga mkono serikali dhidi ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022. Seth Olale anaarifu huku chama cha ODM pia kikiendelea kumpigia debe rais William Ruto.

Share: