Wafugaji Laikipia wageukia utalii wa utamaduni kama kitega uchumi
6 viewsYouTube
Description (show more)
Wafugaji katika kaunti ya Laikipia wamegeukia utalii wa utamaduni kwa nia ya kubadilisha hifadhi za wayama pori za kijamii kuwa vitega uchumi na wakati huo huo kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi. Chama kinachojumuisha hifadhi 10 za kijamii katika kaunti ya Laikipia kinasema utegemezi wa ufadhili kutoka nje hautoshi kuendesha shughuli za kitalii kwenye hifadhi hizo ikilinganishwa na zile za kibinafsi ambazo huwavutia maelfu ya wageni kila mwaka. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
3:12:50LIVE: Good Morning Kenya II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.8K views
37:41🔴LIVE || TV47 News @1pm with Brian Furaha
· 1.3K views
1:53:03🔴LIVE || 90 PLUS
· 4.8K views
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 1.3K views
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 431 views
1:33Langata residents to benefit from free medical camp organised by KMPDU SG Davji Atellah
· 48 views
26:16LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 440 views
1:48:28LIVE: Sports Check with Daniel Wahome II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 939 views
