Kenyans Live

Wafugaji wakosa lishe ya mifugo Laikipia Magharibi baada ya ukame kuadhiri maeneo hayo

Description (show more)

wamiliki wa maeneo ya hifadhi ya wanyamapori huko Laikipia Magharibi, wameombwa kuruhusu wafugaji kulisha mifugo wao katika ardhi yao ili kuinusuru kutokana na makali ya njaa.

Share: