Kindiki atangaza El Niño kuwa suala la usalama wa taifa
12 viewsYouTube
Description (show more)
Naibu Rais Kithure Kindiki ametangaza kuwa mvua inayotokana na hali ya El Niño ni suala la usalama wa kitaifa na amewataka wananchi kufuata kikamilifu maelekezo yote ya usalama. Akizungumza wakati wa mkutano wa ngazi ya juu na maafisa wa serikali wanaohusika na maandalizi ya kukabiliana na athari za El Niño, Kindiki aliagiza mashirika ya usalama na viongozi wa maeneo husika kuhakikisha kuwa tahadhari zote zinafuatwa ili kuokoa maisha na kulinda mali wakati wa mvua hizo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
5:50
1:32
5:40Bon Makolwal: Ka waonge 'National Tallying Center' to ok wanyal bedo gi duok mar jatend piny
· 6 views
1:35Celtic Tysa na Katine Queens Zashinda Katika Mashindano ya Soka Machakos
· 11 views

LIVE: Prime Edition || 22nd September 2026 || www.kbc.co.ke
1:26Standard Chartered Nairobi Marathon Yaingia Hatua za Mwisho, Wanariadha 30,700 Kutarajiwa
· 6 views
31:31🔴TV47 LIVE || TV47 HABARI Saa Moja Kamili || TV47Kenya
· 1.2K views
1:10Rising Stars Yarudi Nchini Baada ya Kushindwa Kufuzu AFCON U20
· 10 views
