Kenyans Live

Ratiba ya ukumbusho wa Raila Odinga yatangazwa huku viongozi wa ODM wakitoa wito wa amani

Description (show more)

Kamati andalizi ya kitaifa ya ukumbusho wa hayati Raila Odinga inayoongozwa na Profesa Adams Oloo, inapotangaza kuanza kwa ratiba ya ukumbusho wa kiongozi huyo na kuutaja mwezi Oktoba kuwa mwezi wa baba,viongozi wa chama cha ODM kaskazini mwa bonde la ufa wametoa wito wa amani utaratibu huo unapoanza.

Share: