Kenyans Live

Watu wawili wateketea hadi kufa katika ajali ya lori Turbo kaunti ya Uasin Gishu

Description (show more)

Watu wawili wameteketea hadi kufa baada ya lori la kusafirisha petroli kulipuka kwenye ajali iliyotokea karibu na shule ya upili ya vijana ya Paul Boit, eneo bunge la Turbo kaunti ya Uasin Gishu,barabara kuu ya Eldoret Webuye.

Share: