Kenyans Live

Viongozi wa upinzani waibua hofu ya kuvurugwa kwa uchaguzi 2027

Description (show more)

Viongozi wa muungano wa upinzani wameibua hofu kuhusiana na uwezekano wa kupanga njama ya kuvuruga uchaguzi mkuu wa mwaka-2027, kufuatia pendekezo la muswada wa marekebisho ya sheria ya uchaguzi wa mwaka-2024. Pendekezo hilo linadhamiria kurekebisha kifungu cha 39 ambacho kinasimamia mchakato wa kuamua, kusambaza kielektroniki na kutangaza matokeo ya uchaguzi. Hatahivyo hivyo uhalali wa kifungu cha 39 ulidumishwa na mahakama kuu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: