Kenyans Live

Mizani ya Haki I Mashirika ya kijamii yashtaki taasisi za usalama

Description (show more)

MIZANI YA HAKI Mashirika ya kijamii yashtaki taasisi za usalama Yanadai mashirika ya usalama yanapuuza ghasia na uhuni Harrison Njeru Muthika aachiliwa kwa dhamana Adaiwa kumhadaa Yusuf Siyad shilingi milioni 4.95 Dereva wa matatu Sammy Murigi Maina kuendelea kuzuiliwa Anahusishwa na ajali iliyasababisha vifo vya watu-3 Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: