Kenyans Live

Amnesty yaishutumu serikali kwa kukandamiza maandamano

Description (show more)

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeishutumu serikali kwa kutumia mbinu za kimabavu kukandamiza maandamano yaliyotokana na hali ngumu ya kiuchumi. Katika ripoti yake, shirika hilo linaangazia madai ya kukamatwa kiholela, utekaji nyara, mateso na vitisho dhidi ya wanahabari wakati wa maandamano yaliyofanyika kati ya mwaka 2023 na 2025. Amnesty International inasema matukio hayo yanaibua wasiwasi kuhusu hali ya haki za binadamu na uhuru wa kujieleza nchini. Ode Francis anatuletea taarifa kamili.

Share: