Kenyans Live

Hospital ya rufaa kaunti ya Nakuru yaanza kutoa vipimo vya saratani ya matiti bila malipo

Description (show more)

Katika Kaunti ya Nakuru, Madaktari wa hospitali ya mafunzo na rufaa, hii Leo wanaendeleza vipimo vya saratani ya matiti bila malipo kama njia moja ya kutoa hamasa kuhusu ugonjwa huo na kuhimiza Umma kupimwa ili kujua hali zao mapema. maadhimisho ya hamasa kuhusu saratani ya matiti duniani hufanyika mwezi wa Oktoba kila mwaka, wataalam wakisema visa hivi vinaongezeka Kwa Kasi.

Share: