Kenyans Live

David Maraga na washirika wataka matokeo ya uchaguzi yatangazwe moja kwa moja kutoka vituoni

Description (show more)

Kundi la 'THE PEOPLE'S COALITION ON ELECTORAL REFORMS' linalojumuisha aliyekuwa jaji mkuu David Maraga linadai kwamba kuna njama ya kuiba kura kwenye uchaguzi mkuu ujao baada ya bunge kukosa kupendekeza kuwa sheria kupeperushwa moja kwa moja kwa matokeo ya uchaguzi mkuu ujao. Likizungumza na wanahabari jijini Nairobi, kundi hilo limesema kwamba litawasilisha tena mswada bungeni la kuifanya kuwa sheria kupeperushwa moja kwa moja kwa matokeo ya uchaguzi mkuu.

Share: