Kenyans Live

Kituo cha Ebola cha Nanyuki chadhaminiwa zaidi huku Marekani ikiongeza ufadhili

Description (show more)

Kituo cha karantini na matibabu ya Ebola kinachodhaminiwa na Marekani ambacho kilikuwa kikijengwa katika kambi ya kijeshi ya Laikipia huko Nanyuki kiko tayari kupokea wagonjwa. Taarifa kutoka kwa serikali ya marekani inasema kuwa hakuna mgonjwa aliyelazwa katika kituo hicho na haikupokea ombi lolote la kumhudumia mgonjwa wa ebola aliyeingia nchini na kufariki Jumamosi. Mahakama ilisitisha ujenzi wa kituo hicho hadi kesi iliyowasilishwa iamuliwe. Na kama anavyoarifu seth olale, Serikali ya marekani imetangaza ufadhili wa shilingi bilioni 1.2 zaidi za kudhibiti Ebola.

Share: