Kenyans Live

Gachagua ajiweka tayari kuongoza upinzani dhidi ya Ruto

Description (show more)

Kinara wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, ameendelea kusisitiza kuwa yuko tayari kuongoza upinzani dhidi ya Rais William Ruto katika uchaguzi wa mwaka 2027. Akizungumza katika ibada ya Jumapili katika Kanisa la Tumaini, Springfield, Massachusetts, Marekani, Gachagua alisema anaamini anafaa kupeperusha bendera ya upinzani. Hata hivyo, Gachagua amesema hatapinga iwapo vinara wenzake wataafikiana kumteua mgombea mwingine, akisisitiza kuwa upinzani unapaswa kuungana nyuma ya mgombea mmoja ili kukabiliana na Rais Ruto katika uchaguzi ujao.

Share: